Article

Michakato ya Kisintaksia ya Uundaji wa Sentensi Changamani za Kiswahili

Authors:
To read the full-text of this research, you can request a copy directly from the authors.

Abstract

Makala hii inalenga kuchambua michakato ya kisintaksia ya uundaji wa sentensi changamani za Kiswahili kwa kubainisha namna kishazi kikuu na kishazi bebwa vinavyowekwa pamoja kuunda sentensi hizo. Ili kufanikisha lengo hilo, makala imeongozwa na Nadharia Rasmi ya Chomsky (1965). Data za makala hii ni sentensi changamani za Kiswahili ambazo zilikusanywa kwa njia ya usomaji wa matini kutoka katika riwaya na magazeti. Matini hizi ziliteuliwa kwa kutumia mbinu ya usampulishaji nasibu sahili. Uchambuzi wa data ulifanyika kwa mkabala wa kitaamuli kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa kimaudhui. Makala hii imebaini kwamba kuna michakato mitatu inayotumika kuunda sentensi changamani ambayo ni uchopekaji, udondoshaji-chopezi na udondoshaji-chopezi hamishi. Kwa kutumia Nadharia Rasmi, imebainika kwamba kila mchakato una hatua zake katika kuunda sentensi changamani.

No full-text available

Request Full-text Paper PDF

To read the full-text of this research,
you can request a copy directly from the authors.

... Vipashio hivyo vinaweza kuwa ni sauti au silabi. Vilevile, baadhi ya vipashio katika sentensi hudondoshwa ili kuepuka uradidi wa vipashio hivyo katika muundo wa nje (Wesana-Chomi, 2017;Kombe, 2019;Kyungu, 2022). Udondoshaji kwenye magazeti unajitokeza zaidi katika vichwa vya habari. ...
Article
Full-text available
Uandishi wa magazeti umeonekana kuwa wa kipekee kwani hutumia mitindo mbalimbali ya uandishi ukiwamo udondoshaji wa vipashio. Tafiti zinaonesha kwamba, udondoshaji wa vipashio katika vichwa vya magazeti hufanyika kwa lengo maalumu. Mathalani, inaweza kuwa ni kwa lengo la uwekevu, kuleta hamasa na mguso kwa msomaji. Licha ya kudhihirika kwa mtindo huu, tafiti zilizochunguza udondoshaji katika magazeti ya Kiswahili zinataja kiambishi njeo pekee kama kipashio kinachodondoshwa katika uandishi wa vichwa vya magazeti ya Kiswahili. Aidha, tafiti tangulizi zinaonesha kuwa vipo vipashio vingine vinavyodondoshwa katika uandishi wa vichwa hivyo ambavyo vinaweza kuchunguzwa kwa mkabala wa kisintaksia. Hali hiyo imeibua ari ya kutaka kuchunguza udondoshaji wa vipashio hivyo na changamoto zake kwa wasomaji. Data za makala haya zilipatikana maktabani katika magazeti teule ya Kiswahili, yaani Mwananchi, Nipashe, Habari Leo na Uhuru kwa kutumia mbinu ya usomaji na uchambuzi wa matini. Data zilichambuliwa kwa kuzingatia mkabala wa kitaamuli wakiongozwa na Nadharia Rasmi ya Chomsky (1965). Matokeo ya utafiti uliozaa makala haya yanaonesha kwamba, vipashio vinavyodondoshwa katika uandishi wa vichwa vya magazeti ni visabiki vya vitenzi visoukomo, kiima cha sentensi tendwa, kiima cha sentensi tenda, vihusishi, viunganishi na vitenzi. Udondoshaji huu pamoja na kuonekana kama mtindo, vilevile wakati mwingine umeonekana kuwa na changamoto ya kuleta utata kwa msomaji.
Book
This book is the result of a unique collaborative research effort. The outcome of this collaborative effort were two volumes, the first of which turned into the current monograph. The second volume includes the data which form the basis for this book, organized into two dictionaries (one language-based, the other semantics-based). It is hoped that this second volume will independently be published in the near future. In the meantime all readers interested in getting access to the data are welcome to contact the author via the publisher. © 1996 by Walter de Gruyter & Co., D-10785 Berlin. All rights reserved.
Aghalabu nomino inayodondoshwa ni ile ya S 2 kama inavyooneshwa katika mfano wa 11(c). 11. (c) Mtoto [mtoto alikuwa anacheza hapo nyumbani] alikwenda kumuita
  • Hivyo
Hivyo, nomino moja hudondoshwa ili kuondoa uradidi. Aghalabu nomino inayodondoshwa ni ile ya S 2 kama inavyooneshwa katika mfano wa 11(c). 11. (c) Mtoto [mtoto alikuwa anacheza hapo nyumbani] alikwenda kumuita.
  • R D Mekacha
Mekacha, R.D. (1987). "Tungo Rejeshi katika Kiswahili". Mulika. 19: 83-91.
  • C Meyer
Meyer, C. (1996). "Coordinate Structures in English". World Englishes. 15: 11-27.
Sintaksia ya Kiswahili: Nadharia ya Kisintaksia na Uchanganuzi wa Kiswahili
  • Z T Philipo
  • F E Na Kuyenga
Philipo, Z.T. na Kuyenga, F.E. (2017). Sintaksia ya Kiswahili: Nadharia ya Kisintaksia na Uchanganuzi wa Kiswahili. Dar es Salaam: Karljamer Publishers Limited.
Kamusi Pevu ya Kiswahili
  • K W Wamitila
Wamitila, K.W. (2016). Kamusi Pevu ya Kiswahili. Nairobi: Vide~Muwa.
Kitangulizi cha Muundo Viambajengo wa Sentensi za Kiswahili
  • E Wesana-Chomi
Wesana-Chomi, E. (2017). Kitangulizi cha Muundo Viambajengo wa Sentensi za Kiswahili. Dar es Salaam: TUKI.